Unawezaje kujipatia kipato kwa mtaji mdogo? Tiens-Tanzania inakupa fursa wewe mjasiriamali ambaye huna mtaji wa kutosha kuweza kuwekeza kwa mtaji mdogo na kisha kujipatatia kipato. Jinsi ya kujiunga nasi ni :-
- Kulipa Ada ya uanachama tsh. 30,000/= au (usd 20) baada ya hapo utakuwa MGAVI wa KAMPUNI kisha:-
- Utapewa mafunzo bure na Kampuni kuhusu bidhaa zetu za afya na kazi yake mwilini
- Utapewa mafunzo ya kijasiriamali na life skills mbalimbali bure
- Utapata haki ya kuwa msambazaji wa bidhaa za Afya za Kampuni
- Utajipatia kipato kila mwezi kwa kusambaza bidhaa za kampuni kwa wahitaji
- Utakuwa mshauri wa kitabibu kwa wagonjwa wa magonjwa mbalimbali
kwa taarifa zaidi kuhusu kampuni na bidhaa zetu wasiliana nami kwa:-
Mobile: +255755569494
E-mail: ruhazwentaki@gmail.com, ruhazwentaki@yahoo.com
facebook page yetu ni : AFYA NA JAMII
NB: Tembelea blog yetu kila mara upate elimu juu ya afya na kipato
TIENS TOGETHER, WE SHARE HEALTH AND WEALTH
No comments:
Post a Comment