AFYA NA VIRUTUBISHO

KWA NINI TUNAHITAJI VIRUTUBISHO?

  • kwa sababu njia zote za kupata aina ya vyakula vinavyofaa mwilini kama madini, vitamini zote,protini, carbohydrates, mafuta, fibers(vyakula vya nyuzinyuzi) na maji safi na salaama zimeharibiwa.
  • njia za kuishi za kisasa hazikidhi mahitaji ya mwili kiafya mfano uhifadhi wa vyakula, uandaaji nk
  • vyakula vingi kwa sasa vimejaa sumu kutoka viwandani na mashambani
  • kuna uhitaji mkubwa wa madini mwilini zaidi ya upatikanaji wake.
  • Ili tuweze kuondoa sumu mwilini ambazo tunazipata kupitia vyakula,hewa tunayovuta  na maji tunayokunywa.
  • Hakuna dawa yoyote kutoka hospitali yenye uwezo wa kutoa sumu kama lead, mercury, arsenic nk ambazo zaweza kutolewa mwilini kwa kula vyakula vibichi vya kiasili kama matunda na mbogamboga.

AINA ZA VIRUTUBISHO VYA AFYA KUTOKA KAMPUNI YA TIENS

  1. VIOSHAVYO ( DETOXIFIES) hufanya kazi ya kuondoa sumu mbalimbali mwilini, mafuta ya ziada katika mwili,damu, moyo nk
    1. Antilipemic Tea( Tiens Tea)
    2. Slimming Tea
    3. Chitosan capsule nk
  2. VILISHAVYO( NOURISHERS) hivi hulisha seli za mwili, mifupa, ubongo nk
    1. Calcium 1,2,3
    2. Lethicin plus Calcium
    3. Zinc capsule
    4. Spirulina capsules
    5. Vitality softgel
    6. Casper capsules 
    7. CZF- Iron nk
  3. VIKINGAVYO( hivi hufanya kazi ya kukinga seli za mwili na mwili kwa ujumla usiendelee kushambuliwa na magonjwa mbalimbali)
    1. Cordyceps/Spirulina
    2. Antilipemic tea/ever youth
    3. Vega power(Royal gel)
    4. King royal/ 7 forces
    5. Diagin/Mega mind
    6. Vitality soft gel capsules  nk
  4. VIAMSHAVYO ( hivi hufanya kazi ya kuamsha cell (boost) zilizolala au kushindwa kufanya kazi kwa sababu ya kutokuwa na nguvu ya kupambana na magonjwa)
    1. Vitality softgel
    2. Cordiceps capsules
    3. Zinc vs Ever youth
    4.  King royal
    5. Vega power
    6. Mega mind nk
NB: KWA NINI TUNAPENDA KUTUMIA TIBA HII YA KUTUMIA VIRUTUBISHO AMBAVYO NI VYAKULA  VYA ASILI( WENGINE HUITA TIBA MBADALA )
  • Dawa moja hutibu magonjwa mengi mwilini
  • Huamsha viungo vya mwili kama vile maini,figo
  • Haina madhara ya baadaye(side effect) kwani hazina kemikali
  • hazifanyi tabia ya kuzitegemea. i.e. hazina tabia kama dawa za kupunguza makali ya virusi vya ukimwi(HIV/AIDS) baada ya kupona huhitaji kuendelea kutumia ili uishi
WASILIANA NASI KWA:- +255755569494, ruhazwentaki@gmail.com, ruhazwentaki@yahoo.com au hapa hapa katika blog yetu makini

No comments:

Post a Comment