Sunday, October 6, 2013

JE WAJUA?

JE WAJUA KUWA:-
- Afya ndio msingi wa kila kitu katika maisha ya mwanadamu?
- kama huna afya njema Huma furaha?
- Mali haina thamani kama afya yako ni mbovu?
tutembelee mara kwa mara upate taarifa muhimu jinsi ya kuishi ukiwa na afya njema na maisha yenye furaha wewe na familia yako.
HIZI NI AINA YA BIDHAA ZITAKAZO KUSAIDIA KUBORESHA AFYA YAKO KWA KUKUONGEZEA SEHEMU YA VIRUTUBISHO AU MADINI YALIYOPUNGUA AU SEHEMU AMBAYO CHAKULA CHA KAWAIDA KIMESHINDWA KUUPATIA MWILI.

No comments:

Post a Comment