Sunday, October 6, 2013

NDG, RAFIKI!
Pole na majukumu ya ujenzi wa Familia yako pamoja na taifa kwa ujumla.

NAOMBA NIKUSHIRIKISHE KUHUSU BIDHAA ZA AFYA KUTOKA KAMPUNI YA TIENS.
bidhaa hizi siyo DAWA bali ni VIRUTUBISHO ( FOOD SUPPLEMENT), hivi
hufanya kazi ya kukurudishia sehemu muhimu katika mwili ambayo chakula
cha kawaida, au chakula tunachotumia kimeshinda kukidhi mahitaji ya
mwili kikamilifu. Na  kwa sababu hii  upungufu wa madini fulani mwilini
yaweza kukusababishia magonjwa mengi.hivyo viritubisho kama hivi
vyaweza kukusaidia kiafya kwa:-
1. KUONDOA CHAFU MBALIMBALI MWILINI ZINAZOLETWA NA VYAKULA TUNAVYOKULA
, MAJI NA HEWA TUNAYOVUTA
2. KUAMSHA CELL ZA MWILI ZILIZOLOLALA
3.KULISHA CELL NA KUZIONGEZEA NGUVU
4. KUKINGA CELL NA MWILI DHIDI YA MAGONJWA MBALIMBALI

Zaidi, naomba usome kila aina ya kiritubisho na kazi zake baadhi katika
mwili wa mwanadamu.
Ahsante.

  

1 comment:

  1. Good sharing! But the version is not English that it spent me sometime to understand.
    crispr knockin cell

    ReplyDelete