- MIFUPA KUWA MIEPESI(OSTEOPOROSIS). Hii husababishwa na ukosefu wa madini chokaa(calcium) mwilini. madini haya huanza kupungua kwa kasi kuanzia miaka ya 20+ endapo mtu atayakosa kwa kiasi kikubwa ambapo mwili huanza kuyachukua yaliyohifadhiwa kwa benki ambayo ni mifupa na meno hivyo kusababisha mifupa kuwa miepesi na meno kulegea. hali hii huleta shida nyingi hata kwa wazee kwani hata ukiteguka tu ni igumu kupona haraka.
- HYPERTENSION AU CARDIOVASCULAR DISEASES ( DAMU KUPIGA KULIKO KAWAIDA). Maradhi haya huletwa na mafuta kuganda kwenye ukuta wa mifereji ya kupitishia damu na kuzuia damu kupita kama inavyotakiwa hivyo kuifanya damu inayopita kwa moyo kuwa na msukumo usio wa kawaida. Mafuta haya yakizidi huleta mshtuko wa moyo( Heart attack) au moyo kuacha kupiga na kusababisha kifo. Tumia viritubisho vya tianshi kama vil Antilipemic tea, Chitosan,Calcium,Cordyceps nk
- SARATANI (CANCER). Hili ni tatizo ambalo huanza kama uvimbe mdogo mwilini harafu huendelea kukua na kusambaa mwilini. Ijulikane kuwa kila mtu ana chembechembe za kansa mwilini( cancer cells) lakini kama damu yako ni safi, saratani haiwezi kukushika na kama kinga ya mwili ikiwa safi chembechembe za saratani haziwezi kuzaana. tumia virutubisho vya Tiens vya kukinga(Immune Boosters)
- KISUKARI (DIABETES). Husababishwa na mwili kushindwa kujitengenezea insulin na kufanya mwili kuwa na sukari nyingi. tatizo hili humfanya mtu kuwa mchovukutokwa jasho, kiu,mwili kupungua uzito na kwenda haja ndogo mara kwa mara. Tumia Madini chokaa ya Tiens( Calcium II) au Chitosan ambao husaidia kupunguza sukari katika damu kwa kuzalisha Insulin mwilini.
- ATHRITIS ( KUKAUKA KWA MAFUTA KATIKA MIUNGIO AU JOINTS). Ugonjwa huu husababishwa na aina fulani ya mafuta( Synovial fluid) kukauka kwenye Miungio. hii husababisha maumivu ya viungo, maungio, miguu kuvimba na kuwaka moto kwa sababu ya mifupa kukwaluzana. TUMIA VIRITUBISHO kama Vitality soft gel, Chitosan, Tianshi Tea,Calcium,Cordyceps,Zinc pia machine za mazoezi ( tianshi blood cycling machine(massager)
Tuesday, October 8, 2013
UKOSEFU WA LISHE BORA HULETA MARADHI HAYA MWILINI
Yafuatayo ni baadhi ya maradhi yasababishwayo na ukosefu wa lishe bora:-
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment